Image with Link Hizi hapa kozi za muda mrefu zinazotolewa VETA 2025/2026. Vocational Education and Training Authority (VETA) ni vyuo vinavyotoa mafunzo ya ufundi kote Tanzania katika mikoa mbali mbali. Mafunzo ya VETA yamejikitaka katika kufundisha ujuzi mbali mbali ambao unamwezesha mwananfuzi kupata ujuzi utakaomsaidia kujiriwa au kujiajiri katika sekta mbali mbali. The following are the procedures for joining VETA ...





