www.nbs.go.tz ajira, www.nbs.go.tz ajira form | www ajira nbs go tz, The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide official statistics to the Government, business community and the public at large.
www.nbs.go.tz ajira
The Act also gives NBS the mandate to play the role as a co-coordinating agency, within the National Statistical System (NSS) to ensure that quality official statistics is produced. Before the enactment of the Statistics Act of 2015, the NBS was one of the Government Executive Agencies which was established on the 26th March, 1999 under the Executive Agencies Act, 1997.
The Statistics Act is among the legislation that have been revised in 2019 and published on 28th February, 2020 (GN 140/2020). The said revision of the Statistics Act includes the amendments of 2018 and 2019.
In this regard, with effect from 28th February 2020, the Statistics Act shall be cited as “The Statistics Act, [Cap 351 R.E 2019].
www.nbs.go.tz ajira | How To apply ajira za sensa
Population and housing census is a process of collecting, analyzing, evaluating and publishing and disseminating demographic, economic and social data related to all persons and their settlements in a country for a specified period. In other words, the census is a special exercise aimed at finding the total population in a country, by age and gender, place of residence and status of education, employment status, birth status and mortality and housing status.
www.nbs.go.tz ajira form
Follow the steps Below to fill sensa form via www.nbs.go.tz ajira
- Visit official website https://ajira.nbs.go.tz/
- Fill all details including VALID EMAIL and NIDA Number
NBS Contact Details: CUSTOMARE CARE SENSA JOBS
Sensa 2022
A Sensa exercise will be held in August this year and census jobs (Ajira za Sensa) will be announced as the time approaches for each region.
Population and housing census is a process of collecting, analyzing, evaluating and publishing and disseminating demographic, economic and social data related to all persons and their settlements in a country for a specified period. In other words, the census is a special exercise aimed at finding the total population in a country, by age and gender, place of residence and status of education, employment status, birth status and mortality and housing status. These basic data are the ones that can match the real needs of citizens including special groups with special needs for example, people with disabilities, women, children, youth and the elderly thus facilitating the development of policies and development plans according to the need and environment.
[better-ads type=”banner” banner=”5904″ campaign=”none” count=”2″ columns=”1″ orderby=”rand” order=”ASC” align=”center” show-caption=”1″ lazy-load=””][/better-ads]
The Population and Housing Census is a national exercise conducted every 10 years where the last census to be held in the country is the one in 2012. Thus the Census 2022 will be the Sixth Census to be held in the country after the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964. Census others took place in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012.
2022 Population and Housing Census Commissioner Hon. Anne Makinda has called on Religious and Traditional leaders to provide education on the importance of the Census so that all citizens can participate fully in the 2022 Population and Housing Census.
Speaking at a conference organized by the Twariqatul religious institution, the Census Commissioner said religious and traditional leaders have a key role to play in ensuring that the Tanzanian public has an understanding of the 2022 Population and Housing Census and is actively involved. He said the best social services provided to citizens are based on statistics and citizen participation in various Censuses including the 2022 Population and Housing Census.
Tanzania is an East African country known for its vast wilderness areas. They include the plains of Serengeti National Park, a safari mecca populated by the “big five” game (elephant, lion, leopard, buffalo, rhino), and Kilimanjaro National Park, home to Africa’s highest mountain. Offshore lie the tropical islands of Zanzibar, with Arabic influences, and Mafia, with a marine park home to whale sharks and coral reefs.
69 comments
Sijaelewa mfumo unavo taka
Naomba mnsaidie ndg zangu! Nimetuma maombi saa mbili Asubuhi! Lakini mpaka muda huu saa name karibia sijatumiwa nywila/ password ya kuingilia(signing in); wenzangu mnafanyaje nisaidieni
I need that work in order to support the country for that work to be successefuly on time
Habar mm na changamoto ya pasword pllz naomb msaada
Soma apa
Naombo msaada wa kupata NENO LA SIRI. Nimeshindwa kupata neno la Siri ili kuweza kupakia tena taarifa zangu
Nipigie0757893404
Mbona nikitaka kuattach vyeti vyangu pdf file halifunguki linawek tu nyekundu??
Jaman samahan tayar nimesha ingia kwenye mfumo lakini sijatumiwa sms kwenye email nifanyaj jaman
soma apa maelekezo
Jamani mm mfumo nkijaza password naambiw incorrect password or username..
Nifanye nin na sms sikutumiwa kwene email
Itakuwa umekosea email. Kama iko sawa, ingia kwenye gmail.. Then nenda upande wa spam
kwenye sparm pia haipo
Nashindwa kupakua form email ninayo na nywila nimepata. Naomba msaada
Passwor na nano la siri nimepata je naingia wapi kuendelea na process
Soma Hapa Maelekezo
Habar mm na changamoto ya pasword pllz naomb msaada
Cheki hapa
Fomu iliyosainiwa nimeihuwisha baada ya kuingia lakini maelezo yanayooneka hapo juu kabisa Kuna ujumbe unasemwa kuwa MAOMBI yanasubiri fomu na. 1 wakati nimeipakia kwenye kipengele Cha kuhuwisha. Kama nimekosea namna ya kupakia naombeni msaada
nida kwa email ulio tumia ww
Fomu naipataje
Nywila nliyotumiwa haifunguki ili nikamilishe kutuma form namba 1
I-copy then ui-paste nahisi itakubali
Naomba msaada password nliyotumiwa kila nkijaribu inasema incorrect password
Nimeomba lakini wakati wakutuma email yangu herufi moja imekosewa kwahiyo nimebaki nafomu mkononi msaada plizz
Nimeomba nafasi lakini sijatumiwa nywila mpaka Leo siku ya tatu shida nini?
Fomu iliyosainiwa nimeihuwisha baada ya kuingia lakini maelezo yanayooneka hapo juu kabisa Kuna ujumbe unasemwa kuwa MAOMBI yanasubiri fomu na. 1 wakati nimeipakia kwenye kipengele Cha kuhuwisha.
Naomba kutumiwa nyuila ili kupata nipate form
Fomu iliyosainiwa nimeihuwisha baada ya kuingia lakini maelezo yanayooneka hapo juu kabisa Kuna ujumbe unasemwa kuwa MAOMBI yanasubiri fomu na. 1 wakati nimeipakia kwenye kipengele Cha kuhuwisha. Kama nimekosea namna ya kupakia naombeni msaada
Samahn email niliotumia haifunguki hivyo naomba unisaidi ili nipate neno la Siri
Nimetumia maombi sjatumiwa nywila Leo siku ya nne
Hata me ni hvhvo nikijarb kuattch vyeti vinakataa sjajua kwann au Kuna njia nyingne
Jamani naomba msaada, kila ninapo kamilisha taarifa zangu nikituma ninaambiwa kuwa email yangu imeisha tumika, na wakati zijaitumia, make sikamilisha kwenye kupakua form
Nimejaza taarifa zote nikituma inaleta ujumbe kuwa namba yangu ya simu imetumika kuomba, nikibadili namba inaleta ujumbe kuwa namba ya form 4 imetumika nasijatumiwa taarifa yoyote naomba msaada nifanye nini? Pia nikipga namba kupata msaada simu haipokelewi…
Nikijaribia kuaplod form namba 1 ilitosainiwa , mfumo unakataa shida Ni Nini..??
In
Mi ninachangamito Kama zako tusaidiane
Tatizo sijapata neno la siri email ilikosewa naomba msaada nduguzangu
Naomba kutumiwa Tena neno la Siri jamani
Wengine hatujapata meno siri
Nimetuma maombi nimepakua form nimepeleka kweny seriakali za mitaa nimetuma kule kweny upande wa huisha form ila kule juu kuna sema inasubir form no.1iliyosainiwa lakin kweny viambatanisho ipo naomba msaada
Nimejaza fomu ya maombi pia nimetuma lakini sijarudishiwa wajibu na barua ya kujaza wadhamini Tafadhali naomba mnitumie
Nimetuma maombi lakini sijapata username na password. Msaada tafadhari
nimeshidwa kupakua form
msaada
nilikosea email namba moja sikuingiza ,nimefanikiwa kupakua form
naomba msaada
Jaman kila nikiapply nikifika kwenye viambatanisho inaload tu haifunguki niambatanishe msaada plzz
Nimetuma maombi lakini sijatumiwa password wala username naombeni msaada email yangu ni mariamshaib18@gmail.com
Ninaomba nafasi ya ukarani katika mchakato huu wa sensa kama ilivyotajwa kwenye tangazo
EMMANUEL MINDE NO YA SIMU NI 0757543485 NILITUMA MAOBI LAKINI SIKUPATA MAJIBU
Jamani email yangu haipokei ujumbe nmemalza bado ujumbe tu
Ninaomba nafasi ya ukarani katika mchakato huu wa sensa
Naombo msaada wa kupata NENO LA SIRI. Nimeshindwa kupata neno la Siri ili kuweza kupakia tena taarifa zangu
Jamani na Mimi nimetuma maombi sijatumia username na pasward na niliwapigia wakasema watanitumia hawajanitumia mpk leo msaada jaman siku zenyewe zimeisha
Hello, nilituma maombi tangu tarehe 6 ila mpaka sasa sijapata neno siri(nwila), tafadhali kama kuna uwezekano wa kupata nipewe msaada🙏🙏
Jam an nisaidie nimetuma maombi sijatumiwa neno LA siri wala nywila nifanyeje kila nikijaribu kupiga zile namba zinatumika sasa kwann waliziweka pale alafu watuwekee bize?
Habari jamn nimetuma maombi na Neno Siri nimetumiwa Ila nikiingiz wakat wakutuma inakataa wananambia incorrect msaada na mwisho alhamisi
Msaada jamani nimekosea tarehe ya kuzaliwa nimeandka ambayo ni tofauti na kwenye cheti nifanyeje niweze kuirekebisha
Log In kwenye Account Yako Bofya Huisha Taarifa Au bonyeza hapa Kutazama hii video
Namba ya mtihani form four ety imetumika huku me mhusika sijaitumia naomba unisaidiwe shida nini
Mbna na2ma maombi naambiwa cheti changu cha form 4 kimeshatumika kufanya maombi
Naomba msaada sijapata password na nimefanya maombi Toka tarehe kumi
Kila ninapojaza barua pepe naambiwa ni invalid labda shida nn mwenye kujua plz!
I made my application but still as so far I have not received my password in spite of customer care to promise me that they would send me password which could enable me to complete my application until now the have done nothing I don’t know what is the problems?
Mimi ninachangamoto nimeomba lakini sijapata neno la Siri naombeni mnisaidie
Naombeni mnisaidie nilifanya maombi toka tareh kumi mpaka leo sijapewa password naomba mnisaidie
Natuma maombi ety namba yangu ya mtihani form four imetumika nasaidiwaje jaman
Naomba msaada sijatumiwa nywele ni wiki sasa na nikijaribu kuwapigia simu zote zinajuwa bizzy
naingiza passward naambiwa incorrect password nifanyeje? Number yangu 0763245885
Jaman selikali itoe ajila kwa vijana na so kutujua idaditu watuwezeshe me na taaluma ya udereva lakin ajila ngumu sana.