Update za ajira za walimu 2024 – ajira portal

by admin
0 comments
Update za ajira za walimu 2024
Image with Link Description of Image

Live Updates

The content will auto-update after 60 seconds
07:37:16
NEW UPDATE on ajira Portal accounts: CONFIRM EMPLOYER

There is a significant changes on ajira portal accounts demanding the job seekers for teaching vacancies to confirm the employer

AJIRA ZA UALIMU AJIRA PORTAL
YALIYOPO MABADILIKO MUHIMU:

1.⁠ ⁠Wameweka mikoa sehemu ya employer na kitufe cha confirm employer.

Fanya mambo/hatua zifuatazo
1.⁠ ⁠Ingia Ajira portal akaunt Yako ( https://portal.ajira.go.tz )
2.⁠ ⁠Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3.⁠ ⁠Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4.⁠ ⁠Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko kutoka MDA&LGA na kuandikwa jina la mkoa

1.⁠ ⁠Je naruhusiwa kubadili mkoa? NDIO
2.⁠ ⁠Mkoa huo ndiko utafanyia interviews? USAILI WA KUANDIKA / Written Interview Utafanyia mkoa unaoishi sasa ivi, Ila USAILI WA ORAL utafanyia mkoa ulioombea kazi. Ko kama upo Dar es salaam na umeomba kazi Kigoma, Usaili wa Writen utafanyia Dar es salaam UKIFAULU apo sasa Usail wa Oral utaenda KIGOMA
3.⁠ ⁠Je kama kuna mikoa miwili itakuwaje?. CHAGUA MKOA UNAWEZA KUFIKA

Screenshot 2024 09 14 at 10.33.23

Screenshot 2024 09 14 at 10.57.49

Screenshot 2024 09 14 at 10.55.44

10:35:21
ajira za walimu 2024: Kujitolea sio Kigezo
July 30, 2024
ajira za walimu 2024: Important things to consider
 
Update za ajira za walimu 2024 – ajira portal, The Secretary of the Secretariat of Employment in the Public Service on behalf of the Secretariats of Regions and Local Government Authorities welcome job applications from Tanzanians with qualifications and ability to fill 11,015 positions as specified in this ad.

THE POSITIONS AVAILABLE ARE:

1. TEACHER GRADE III B – COMMERCE SUBJECT 23 POSITIONS

2. TEACHER GRADE III B – AGRICULTURE 29 POSITIONS

3. TEACHER GRADE III B – FRENCH (FRENCH) POSITION 2

4. TEACHER GRADE III B – FOOD AND HUMAN NUTRITION (FOOD AND HUMAN NUTRITION) PLACE 2

5. TEACHER GRADE III B – SEWING LESSON (TEXTILE) 2ND PLACE

6. TEACHER GRADE III C – CHEMISTRY (CHEMISTRY) POSITION 544

7. TEACHER GRADE III C – PHYSICS (PHYSICS) POSITION 633

8. TEACHER GRADE III C – MATHEMATICS 662 POSITIONS

9. TEACHER GRADE III C – BIOLOGY (BIOLOGY) POSITION 515

10. TEACHER GRADE III C – GEOGRAPHY (GEOGRAPHY) 310 POSITIONS

11. TEACHER GRADE III C – HISTORY (HISTORY) POSITION 211

12. TEACHER GRADE III C – ENGLISH (ENGLISH) POSITION 412

13. TEACHER GRADE III C – SWAHILI POSITION 184.

You may also like

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Business Hours

  • Monday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Tuesday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Wednessday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Thursday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Friday
    8:00 AM - 7:00 PM
Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?