Image with Link Kozi za Cheti na Diploma VETA 2025. Kozi za muda mrefu za diploma na cheti zinazotolewa na VETA Tanzania. VETA wanatoa kozi mbali mbali za ufundi katika fani mbali mbali kuanzia kozi za muda mfupi na kozi za muda mrefu, Kozi za muda mrefu zinajumuisha level ya Diploma na Cheti. Jinsi ya Kujiunga na mafunzo ya VETA ...