166
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inasisitiza utekelezaji wa Mihula ya Masomo kwa Mwaka 2025, kwa kuzingatia Kalenda hiyo ili kuepuka changamoto ya kutokamilisha ufundishaji na ujifunzaji wa mada kwa wakati
KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2025
1 comment
It’s very important and congratulations… because it gives information on time