Mfumo wa maombi ya sensa 2022, www.nbs.go.tz ajira, sensa application, www.ajira.nbs.go.tz, | www.nbs.go.tz ajira fomu ya maombi. The National Bureau of Statistics (NBS) has developed (www.nbs.go.tz ajira) a census employment application system (ajira.nbs.go.tz) for sensa which will be held on August 23, 2022. This employment application system should be used by all applicants to submit census job applications. All applications for census employment are sent online by filling the www.nbs.go.tz ajira fomu ya maombi
ww.nbs.go.tz ajira | mfumo wa maombi ya sensa 2022
Applicants are required to complete a census application form (fomu ya maombi ya sensa) available on the census employment application form. once they fill in the form they will be required to download the form in order to go and sign it to the local government officials who want to do the census clerk.
The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide official statistics to the Government, business community and the public at large.
Temporary Employments System for correspondents and IT managers of Population and Resident Center 2022.
Important Notes on How to Fill Sensa Fomu
- Read the Announcement carefully, before submitting an application.
- Make sure all the information you fill out is yours.
- Phone number will only be used once. Make sure you fill in a phone number that has not been used by another person to apply for a job.
- Make sure the email you use is yours and it works. Email will only be used once.
- After submitting the application Download Form No. 1 to be filled by Thinkers Along with Local Government officials when you work.
- Username and Password will be sent to the email you entered above (Excerpt 3).
- To complete your application, Use the Email and Password used to upload Form No. 1 signed.
Steps for Application Census Work 2022 | www.nbs.go.tz ajira fomu ya maombi
- Visit website www.nbs.go.tz ajira then click on the “Advertisement” link of Clerk Temporary Jobs AND Census Managers 2022 “.
- Fully fill in the details on application form
1. Fill in your information
2. Fill in the sponsors
3. Upload the certificate attachments your
NB: Essential items to have in the application for the function of the census is;
1. Your NIDA number
2. Form Four Certificate
3. Birth certificate
4. Passport (your passport photo)
Once you submit the application, a form will come up that you will read and then press a button written download to sign
NB; copy the application number (username) and phone number you used during request a request.
Enter the link you used to request the application and then enter your number application (username) and phone number you used when requesting an order update the application.
NB; If you did not manage to download form No.1 in step 3 you can download it the form by entering your address Click the link labeled form No. 1. not signed to upload your unsigned form.
A green message will appear, informing you that you have successfully downloaded the form, then on the left you will see increased information on the reporting side attachments. then right-click the image to their right click on the sign out button in order to get out of the system.
Frequently Asked Questions
- Who is the content manager?
- Who is the census clerk?
- What do I do if the sponsor does not have an email?
- What should I do if my Phone / Email Number has already been used?
- What should I do if I do not receive a notification message in my email?
- What should I do if the Form Four exam number does not agree?
- What should I do if I can’t find Districts / Councils / Wards / Places to work?
- What should I do if I cannot download the Application form?
- How do I get a username and password?
- How do I update my information if I made a mistake?
- What do I do if the sponsor is not around the area I am applying to?
- Can I apply for more than one position?
To Answer all this Questions Follow the PDF file below with all instruction on How to Fill the form Correctly
[wp-embedder-pack width=”100%” height=”400px” download=”all” download-text=”” attachment_id=”5793″ /]
120 comments
0777353980
Ninachangamoto nimesha jisajili wameniletea mesaji kwenye email vituszakeo6@gmail.com lakin kupata haifungui kwenye mfumo na fomu namba 1 sija pakua naomba msaada kiongozi
Sijapata TAARIFA katika email yangu kelvinmkeya043@gmail.com msaaada
Nimetumiwa password lakin aifuguki naomba msaada
Sijapata taarifa kwenye imeli yang
Sijaletewa form namba1 nafanyaje
Mi sijaona pas werd hadi sasa
nimeshajisajili ila sijatumiwa link na password ili niweze kupakua form no 1
Nimejaza taarifa zote lakin sijapewa fomu namba1,email,na password
Naomba msaada
Suleimanjumaali89@gmail.com
Nategemea ombi lang litafanikiwa kwa moyo wa dhat kbx
Nimepakia taarifa zangu na nikaprint na fomu ya kujaza lakini sijatumiwa link ya kufungulia
Email uliyotumia iko hewani??
Ndio Iko hewani
Nimejaza taarifa zangu lakin hawaleti password ili ni pakue fumu no moja nafanyaje
Na pia nilishaiprint form ya maombi ya kazi ya sensa Kisha nikazijaza zle hard copies na wadhamini pia wakajaz sehem zao..je nikiipeleka ikajazwe na viongoz w serikal ya mtaa kutakuw bado kuna haja ya kujaza form on line????? Maan me binafsi inanisumbua kwel…je siwez kuambatanisha na vyeti nikavipelek ofs ya ser ya mtaa
Najaribu kuiweka password niliyopatiwa na wenyewe lakn wananiambia incorrect sijuhi kwa nn
Naomba kama natumia cm ya mtu naangaliaje taarifa kwa email yangu?
jinsi ya kuambatanisha vyeti nahitaji msaada
Cheki Hapa
Msaada jamani naambiwa namba ya cheti imeshatumika nifanyaje
Hi,,tatizo liko kwenye kujaza wilaya,kata,na jimbo,yaan ukitype wanaleta ety no results found tufanyeje
Sometimes inabidi Ureload unaeza kuta ni mtandao
Samahani nilisubmit lkn sikufanikisha kupata form namba1
Mimi nilifanyamaombi na nikaprint fomu,lakini email na namba ya simu haikuwa na makosa ya aina yeyote lakini sikutumiwa sms ambayo inabeba neno la siri toka j5 hadi ijumaa hakuna kitu,sijui shida nini hasa?
Jaman naomba nisaidien hili nimekosea herufi moja kwenye email sioati ujumbe nifanyaje nikiapply Tena mfumo unagoma
Nimetuma sikupata massage,nafanyaje jamani mssada
Nikifika mkoa inaniletea najaz napotaka kujaza wilaya inanirudisha mkoa mini shida adimin
Sehemu ya mkoa,wilaya,halmashauri,jimbo n.k tafadhali jaribu kubadilisha mara nyingi endapo inakuandikia results is not found,itakubali ndgu,kwamfano
unataka kuchagua mkoa wa dsm,wilaya ya ubungo,cha kufanya ni kuchagua dsm halafu kama wilaya haiji badili mkoa na kisha rudi kwenye chaguo lako la awali.
Mfano,Mkoa …Dsm> wilaya Ubungo
Kama chaguo lako ni Ubungo na matokeo ni hakuna,basi ili upate wilaya za mkoa wa dsm zionekane,chagua mkoa mwingine halafu rudi tena kuchagua dsm utaona wilaya za mkoa zitaonekana
Fanya hivyo kwa kila hatua zilizobakia,kwani kinachosumbua ni network.
Duu
Ujazaji unachangamoto hasa kwa sisi tulio nje ya miji. Nilijaribu ku apply haikutoa majibu,mtandao ukakata. Kujaribu tena naambiwa namba yq nida ishatumika dah
Naomba kuuliza kama hauna namba za nida itakuaje
Unakuwa hauna sifa za kutuma maombi
Nime apply vizuri,lakini hadi sasa ni siku ya tatu, sijapata meseji yoyote kwenye email yangu ili nikamilishe mchakato
Sijatumiwa no kwenye email ili kupata form no1.
Nambiwa barua pepe ishatumikaa ila sijatumiwaa no kweny email
Cheki kwenye email za wadhamini
Mbn na mm naambiwa namba imetumika au niangalie kweny email Ila nikiangalia kweny email akuna ujumbe wwte
Sijapata fomu no 1
Kama ujatumiwa password ya kufungulia fomu namba moja unafanyaj jaman
Naomba msaada wa link(password) ya kufungulia maana nimefanya application na sijatumiwa na nitangu tarehe 8/5
Rudia upya kufanya application Tumia email ilio active, ukishasubmit watakuambia kuwa Taarifa zishatumika ila watatakutumia email na password kwenye iyo email mpya au Bonyeza hapa
Naomba nitumiwe password sjatumiwa mpaka sasa
Msaada jamani naambiwa namba ya cheti imeshatumika nifanyaje
Jamani vyeti na picha vinapakiwaje?
Vyeti vinapakiwa kwa PDF, Picha inapakiwa kama PICHA
Nmeshatumiwa fomu No moja lkn siwez kuendelea inakataa na hata nikijaribu kuingia naambiwa nenosiri sio sahihi na ninatia ninosiri walilonitumia nifanye nin?
Mbn na mm naambiwa namba imetumika au niangalie kweny email Ila nikiangalia kweny email akuna ujumbe wwte
Hi, Mimi kila nikitaka kutuka maombi naambiwa ” your file couldn’t be processed”. Nifanye nishajaribu Mara nyingii Sanaa lkn bado najibiwa hivyo
Hakikisha vyeti vyako viko kwenye PDF
Nimeambiwa namba yangu imetumika asa imekaaje hiyo je naweza kufuta applications na kuanza tena
Itakuwa uliitumia kujaribu ukifikiri maombi hayajaenda kumbe ndo yashaenda
Mbona sijatumiwa kitu kwenye email address yangu
Nimejaza taarifa zangu lakin hawaleti password ili ni pakue fumu no moja nafanyaje
Sijapata password,nifanyaje?
Mimi nimefanya maombi lakin sijaletewa namba ya Siri(password) nifanyeje
Sijaletewa password nifanyeje?
Mbn Mimi inagoma kweny kutuma vyeti
Mimi nimekamilisha taarifa..nikatuma..ikaenda lkn..cpati sms kwenye email..kwahiyo siwezi kufanya chochote.bila hiyo password
Nimekosea email sijapata pasward ili niweze kutuma form nilizosainisha nifanyaje
Jamani mimi nlituma lakini baada ya kutuma haikuniletea fomu namba 1 na nilipojaribu tena iliniambia kuwa namba yangu imeshatumika kutuma maombi je nifanyeje?
na mimi tatizo ni Hill hili aliyepata ufafanuzi anisaidie
Jamani naombeni msaada nimekosea email na maombi yameenda nafanyaje na fomu sijapata
Ninachangamoto nimesha jisajili wameniletea mesaji kwenye email vituszakeo6@gmail.com lakin kupata haifungui kwenye mfumo na fomu namba 1 sija pakua naomba msaada kiongozi
Samahan jamani nimetuma maombi tayAri lakin email hawajanitumia sms Yaan Nywira Bado Sijapakua Form Namba Moja
Ninachangamoto nimesha jisajili wameniletea mesaji kwenye email vituszakeo6@gmail.com lakin kupata haifungui kwenye mfumo na fomu namba 1 sija pakua naomba msaada kiongozi
msaada please E-mail yangu esamweli322@gmail.com simu 0699493768 sijatumiwa form no 1 nisaidieni ndugu.
Samahan jamani nimetuma maombi tayAri lakin email hawajanitumia sms Yaan Nywira
Jamani pia na changamoto nimekosea herufi moja kwenye email nimeshindwa kupokea password
Jamani pia na changamoto nimekosea herufi moja kwenye email nimeshindwa kupokea password
Samahani nilisubmit lkn sikufanikisha kupata form namba1
Log in kwa kutumia password na email ulotumia utaipakua tena upya
Naomba kuuliza kama hauna namba za nida itakuaje
Natuma naambiwa namba ya form 4 imetumika nafanyaje
natumia password hii kupakua form ili nisainishe naambiwa password siyo sahihi iM8G7IZVWd
Bofya kwnye link ulotumiwa, afu copy pasword kama ilivo kapaste pale itakubali
samahan mim naaply lakin upande wa viambatanisho,mikoa inagoma kufunguka nijaze naomba msaada
Jiunge apa Upate Msaada Bonyeza Hapa
kama sina nida naruhusiwa kujaza namba ya kitambulisho cha kula au naomba msahada
Hakiruhusiwi inatakiwa NIDA kama Hujajisajili NIDA bonyeza Hapa
Mbona kazi hii imekuw ya changamoto sana
Nimetumiwa password lakin aifuguki naomba msaada
Nimetuma maombi form ikiwa na picha na nikaletewa form no1 ikiwa na picha Ila kwenye kuprint picha inatoka nafanyaje hapo
No coment
Mimi nimepata form 1 lakini password Sijatumiwa kwenye Email, sijajua tatizo liko wapi?
Nina CHANGAMOTO ya kujaza Maan kweny kujaza wilaya, kitongoj at mtaa anagoma
`nifanikiwa kuprint form no 1 lakini nilikuwa nimechanganya herufi moja ya email hivyo sijapata pasword na user name.
Habar nashida nimetumia sms kwenye emeil yangu lakn neno la sir linakata nafanyaje naomb msaada wenu
Nilituma maombi ya sensa sjapokea namba ya Siri ili kujaza fomu namba moja nafanyaje?
Nimetuma maombi ya ukarani wa sensa lakini sijapata fomu inayotakiwa kupakuliwa ili ikajazwe na wadhamini na serikali ya mtaa
Me nimetuma maombi naambiwa namba ya form4 na yasimu imeisha tumika
jamaani wengne hatuna namba ya NIDA ila sifa nyingne zote zipo tunaomba mtusaidi hicho kige vp
Hi,binafsi nimejarib kutuma maombi Mara nyingi ila kuna sehem katk form no1 hazifunguk hivyo kufany form kutokamilika kuijaza..je nifanyaj?
Naomba msaada wa kutumiwa username na password ili nipakue from namba 1.
Nimeshaatumiwa password sasa nataka nipakie form iliyosainiwa inanikatalia, inaandika inccorent password or user name. Naomba msaada tafadhali
Sina website nina email tu
tutaongeza muda wa maombi vumilien vijana
Jamaniiii kwenyeee kujazwa tarafa,wilaya,jimbo,kata na kijiji wananiambiaa no results found nifanyaje
Sorry nimetuma taarifa zote zimekamilika lakin sipati link au password ya kuapoload form ya pili naomba msaada.
Nimejaza taarifa zote lakin sijapewa fomu namba1,email,na password
Naomba msaada
Jamani mwenye link inayojazika eneo la taarifa,na kijiji
Nimetuma maombi kwa email luogaandrea49@gmail.com sijapata msg leo siku ya nne naomba msaada
jaman nam sijapat passwod ad sas kama vp watupe mrejesho tusiendelee kusumbuka kutuma maombi huenda watu wanaohitaj washafikia
Msaada sijarudishiwa majibu yeyote kwenye email yangu baada yakutuma fomu ya maombi
Ninaomba password ya ku upload nlishamaliza kujaza form email ni engineernyamweru@gmail.com
Nimeshafanya application tayar, sijapokea fomu namba 1 na pia sijatumiwa email na password. Nikijaribu kuomba upya naambiwa naambiwa namba ninazotumia zimeshatumika kuomba. Namba yangu no 0624276470
Niliomba maombii sijapata password mpka Leo Wala form naambiwa vyote vimetumika mpka email pia msaada pls
Mimi nimeshajaza form ya kwanza, nikatumiwa fom namba moja na neno la siri, nimeshapakua na kusainisha tayar, ila shida imekuja wakati wa kupakia fom namba moja wakati nimeshapakia form na nimeshabonyeza kitufe cka kijani kilichoandikwa pakia, mtandao ukawa umeshuka kwenyw ku reload nimekuta kile kitufe cha kijani kinachoniruhusu kupakia form namba moja hakitokei tena, nimehangaika siku nzima, je nauliza nifanyeje au ni log out? Na je nikisha log out nitaruhusiwa tena kurudi ndani ya mfumo?
Hi, ninaomba maombi lakin naambiwa no yangu ya kidato cha nne imeshatumika wakati sijawahi omba nafasi! Naomba msaada
samahani nimekosea kuandika namba ya form 4 kwenye details na maombi nishatuma, je naweza pata access ya kubadlisha namba? maana viambatanisho vpo tofauti na namba nloandika
revocatusjoyce1@gmail.com
Msaada sijapata majibu nilivo tuma fomu na sijakosea email
Endelea kujaribu tu itakubali ni mtandao
nimepokea msg ya kukamilisha maombi lkn sijapata form na.moja
NIMETUMIWA FOMU SIJATUMIWA PASSWORD NAOMBA MSAADA
naomba saada nimekosea pale kwenye kipengele cha wadhamini tunaedit vp msaada jaman
Jamani msaada wenu nimepata fomu namba 1 lakini password walonitumia inagoma wananambia incorrect password nafanyaje wadau na
Ndugu yangu na mm shida hio password sio sahihi tutafute msaada
Nataka kutuma form imeisha jazwa na wadhamini lakin inanigomea password inankataria tatizo nini jaman
Copy Password ulotumiwa, kisha bofya link ulotumiwa kwenye Email Afu sehemu ya kulog i Paste password ulokopy badala ya kuandika