Tuesday, March 25, 2025
Image with Link Description of Image

Table of Contents

Image with Link Description of Image

Connection ya Mwalimu wa Mtwara– Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia Watuhumiwa wawili ambao ni Dickson Paul Tamba (27) Mjasiriamali, Mkazi wa Mkuti chini machinjioni Wilaya ya Masasi na Mohamed Ally Kajao (34) Mwalimu Shule ya Msingi Nanyani, Mkazi wa magomeni Wilaya ya Mtwara kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Akitoa taarifa leo February 12,2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amesema tukio hilo lilifanyika mwezi January 2025 katika nyumba ya kulala Wageni (jina limehifadhiwa). Taarifa ya Polisi imesema walikamatwa baada ya Dickson Paul Tamba kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na Mwalimu Mohamed Kajao huku wakijirekodi video kisha kuisambaza video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Image with Link Description of Image
Image with Link Description of Image

Business Hours

  • Monday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Tuesday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Wednessday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Thursday
    8:00 AM - 9:00 PM
  • Friday
    8:00 AM - 7:00 PM
Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?
-
00:00
00:00
Update Required Flash plugin
-
00:00
00:00