Job Title: Warehouse and Inventory Control Officer Location: Chem Chem Safari, Tanzania Application Deadline: Kindly note that only shortlisted applicants will be contacted. Start of this position will be on the 1st of May. About Us: Chem Chem Safari is a renowned luxury safari company dedicated to providing exceptional wildlife experiences in Tanzania. We are committed to excellence, sustainability, and ...

MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu February 2025 – Matokeo haya ni kwa wale waliofanya usaili kati ya tarehe 14 hadi tarehe 17 January 2025 kwa baadhi ya Mikoa. Majina mengine yanaendelea kutoka, endelea kutembelea website yetu. Walimu Walioajiriwa 2025, Walimu Walioitwa Kazini 2025, Walimu walioajiriwa 2025 pdf, download PDF za Walimu walioajiriwa 2025, Download Walimu walioajiriwa 2025, Walimu ...

Connection ya Mwalimu wa Mtwara– Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia Watuhumiwa wawili ambao ni Dickson Paul Tamba (27) Mjasiriamali, Mkazi wa Mkuti chini machinjioni Wilaya ya Masasi na Mohamed Ally Kajao (34) Mwalimu Shule ya Msingi Nanyani, Mkazi wa magomeni Wilaya ya Mtwara kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Akitoa taarifa leo February 12,2025, Kamanda wa Polisi ...

New Graduate Vacancies at Geita Gold Mine – Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in Denver, USA. The mine is situated in the Lake Victoria Gold fields of Northwestern Tanzania, only about 85 km’s from Mwanza ...

TRA yatangaza nafasi za ajira 1596. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza nafasi 1,596 za ajira katika kada mbalimbali. Tangazo la nafasi hizo limetolewa Alhamisi Februari 6, 2025 na kusainiwa na Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo. “TRA inapenda kuajiri watumishi wenye sifa, uwezo na maadili kushika nafasi za kazi katika Idara ya Mapato ya Ndani, Forodha na Ushuru, Usimamizi na ...

Kozi za Cheti na Diploma VETA 2025. Kozi za muda mrefu za diploma na cheti zinazotolewa na VETA Tanzania. VETA wanatoa kozi mbali mbali za ufundi katika fani mbali mbali kuanzia kozi za muda mfupi na kozi za muda mrefu, Kozi za muda mrefu zinajumuisha level ya Diploma na Cheti. Jinsi ya Kujiunga na mafunzo ya VETA 2025 The following ...

Tangazo la kuitwa mafunzo Jeshi la uhamiaji February 2025. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia Vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kuripoti Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga – Mkoani Tanga, siku ya Jumamosi tarehe 01 Machi, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Atakayeripoti Chuoni baada ya muda uliotajwa hatapokelewa. ...

Hizi hapa kozi za muda mrefu zinazotolewa VETA 2025/2026. Vocational Education and Training Authority (VETA) ni vyuo vinavyotoa mafunzo ya ufundi kote Tanzania katika mikoa mbali mbali. Mafunzo ya VETA yamejikitaka katika kufundisha ujuzi mbali mbali ambao unamwezesha mwananfuzi kupata ujuzi utakaomsaidia kujiriwa au kujiajiri katika sekta mbali mbali. The following are the procedures for joining VETA centres: PROCEDURES FOR ...

Kozi za veta na gharama zake 2025 pdf download. Vocational Education and Training Authority (VETA) ni vyuo vinavyotoa mafunzo ya ufundi kote Tanzania katika mikoa mbali mbali. Mafunzo ya VETA yamejikitaka katika kufundisha ujuzi mbali mbali ambao unamwezesha mwananfuzi kupata ujuzi utakaomsaidia kujiriwa au kujiajiri katika sekta mbali mbali. Mafunzo haya yanahusisha vitendo zaidi na mwananfuzi anatoka akiwa ameelewa ujuzi ...

Tangazo la Nafasi 8000 za Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Fani Mbalimbali The Office of the Prime Minister, Labour, Youth, Employment and Persons with Disabilities is implementing a National Skills Development Programme aimed at enabling the National workforce to acquire relevant skills and knowledge to compete in the job market. The Office has entered into agreements with 52 vocational training ...