ajira.nbs.go.tz sensa 2022, mfumo wa mombi ya ajira za sensa | www ajira.nbs.go.tz sensa. how to apply online census, How to apply ajira za sensa 2022, This article contain information about how to apply ajira za sensa 2022 thoough ajira nbs go tz
www.nbs.go.tz ajira
The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide official statistics to the Government, business community and the public at large.
The Act also gives NBS the mandate to play the role as a co-coordinating agency, within the National Statistical System (NSS) to ensure that quality official statistics is produced. Before the enactment of the Statistics Act of 2015, the NBS was one of the Government Executive Agencies which was established on the 26th March, 1999 under the Executive Agencies Act, 1997.
How to apply online census Jobs
Population and housing census is a process of collecting, analyzing, evaluating and publishing and disseminating demographic, economic and social data related to all persons and their settlements in a country for a specified period. In other words, the census is a special exercise aimed at finding the total population in a country, by age and gender, place of residence and status of education, employment status, birth status and mortality and housing status.
The Government of the United Republic of Tanzania, is preparing to do so Population and Housing Census which will be held on 23 August 2022.
To achieve In this census, the Government is announcing temporary vacancies for Makarani wa Sensa (CORRESPONDENTS AND CENSION MANAGERS) for Tanzanians with the right motives and qualifications as specified in this announcement.
Sensa Job Application is done Online Through ajira.nbs.go.tz sensa 2022, The applicant required to fill the online form and submit their application. the deadline for application is May 19 2022.
Mfumo wa mombi ya ajira za sensa| ajira.nbs.go.tz sensa 2022
The online application system is available at the following websites; www.pmo.go.tz, www.tamisemi.go.tz, www.nbs.go.tz for Mainland Tanzania and www.ompr.go.tz, https: //www.tamisemim.go.tz or www.ocgs.go.tz for those applying for Tanzania Zanzibar,
Required Information In ajira za sensa 2022
Part A: Applicant Information
- First name
- Middle name
- Surname
- Telephone number
- Date of birth (As in birth certificate)
- Higher Level of Education Achieved
- Form Four Examination Number (Example: S1234-0012-2006)
- Test Number (Example: S1234-1234-2006)
- Requested Position (Select only one position)
- Phone / Kishikwambi experience
- Employment status
- National Identification Number as on NIDA card
- NIDA Number (Example: 19900102-12345-00001-12)
- Choose the area in which you will work
- Province
- District
- Council
- State
- Division / Ward
- Kata / Shehia
- Village / Street
Part B: Sponsor information
- Three names of first sponsor
- Email of first sponsor
- Phone number of the first sponsor
- Three names of second sponsor
- Email of second sponsor
- Phone number of the second sponsor
Section C: Attachments
- Form Four Certificate (PDF)
- Birth Certificate (PDF)
- Other Appendix (Example ICT Certificate, n.k) PDF
The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide official statistics to the Government, business community and the public at large.
The Act also gives NBS the mandate to play the role as a co-coordinating agency, within the National Statistical System (NSS) to ensure that quality official statistics is produced. Before the enactment of the Statistics Act of 2015, the NBS was one of the Government Executive Agencies which was established on the 26th March, 1999 under the Executive Agencies Act, 1997.
The Population and Housing Census is a national exercise conducted every 10 years where the last census to be held in the country is the one in 2012. Thus the Census 2022 will be the Sixth Census to be held in the country after the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964. Census others took place in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012.
96 comments
Jinsi ya kutuma maombi ya ajira ya sensa
Click on the link mentioned above
Nafasi ya kazi kwenye sensa 2022
Bado sijafaham namna ya kutuma fomu
Ingia Hapa >>>https://ajira.nbs.go.tz/application/create
Naomba msaada nilituma maombi ya ukarani wa sensa nikafanikiwa na kumbe email nilio weka sio yenyewe kwaiyo nimeshindwa kupata password ya kuingilia ili nipakuwe fomu ya kusainisha nifanyeje
Mm pia nina tatizo kama hili
Nami pia nina tatizo hilo cjui inakuaje hapo
Tatizo gani
Mm pia ninatatizo hilo
Me nimetuma maombi form ikaja ila wakati naclik kuipakua mndao ukakata sa nashindwa elewa nifanyeje niipate
Thiss aplication must not in selfish way to make all people to aply in comphotable way.
Mbona fomu ,haifunguki
Jinsi ya kutuma form ambayo tayar imejazwa napata ugumu please maan najaribu naletewa ya awali
Bonyeza Hapa Kuangali jinsi ya Kupakia Fomu namba Moja
Hello
Napenda kuwajulisha kuwa Kuna baadhi ya wenyeviti wa Kijiji wamekuwa wakishinikiza kupewa rushwa wakidai kuwa wenyewe ndo wenye mamlaka ya kuchagua ama kupendekeza majina na watakao chaguliwa kwa ajili ya zoezi la sensaa, naiomba serikali yangu tukufu ambayo naiamini ijaribu kulifanyia kazi hili swala 🙏
Fomu hii haifunguki mbona wakuu
Form mbona haifunguki
Naona mfumo hauko sawa mkoa haunekan na wilaya
bado inatuchanganya
Jaza kwenye Mfumo
Me nimetuma maombi form ikaja ila wakati naclik kuipakua mtandao ukakata sa nashindwa elewa nifanyeje niipate
Majina ya waliochaguliwa kazi ya sensa yanatoka Lin?
samahani Mimi shida yangu Kila nikifungua kwenye mkoa na kuendelea inagoma kufunguka.
Jaribu mko mwingine then urudi kuchagua mkoa wako jaribu jaribu itakubali
Nashindwa kuedit kiambata (form iliyo sainiwa) option hiyo hakuna
Mbn fomu haifunguki, waheshimiwa!
Jaza kwenye Mfumo
mwana unajazaje sasa
We need help b’seThere some of region their wards are no longer shown so we can’t apply
Use computer it work better than Phone
Form haifunguki ndio
Ingia Hapa >>>https://ajira.nbs.go.tz/application/create
Naomba msaada nilituma maombi ya ukarani wa sensa nikafanikiwa na kumbe email nilio weka sio yenyewe kwaiyo nimeshindwa kupata password ya kuingilia ili nipakuwe fomu ya kusainisha nifanyeje
Me nimetuma maombi form ikaja ila wakati naclik kuipakua mndao ukakata sa nashindwa elewa nifanyeje niipate
Kama umepata majib naomba nisaidie Nina tatzo ka lako ndugu
Kama umepata majib kuhusu tatzo lako naomb nisaidie Nina tatzo ka lako
Kuna shida katika mtandao.
Jimbo,taraza,lata na Kijiji havifunguki na huwezi kukiandikia mwenyewe.
Tunaomba marekebisho katika mfumo.
Ndani ya nyumba
No some district and wards and other related variables. Improve the system please
Tuelekezen jmn
Tazama hii Video Hapa https://youtu.be/MPCKUXh3qCg
Kila nikijaribu baadhi ya vipengele havifunguki
Admin unatusaidiaje Sisi tulio tuma maombi kumbe email zetu hazipo active tutapataje password ilikurudisha form msaada plz
Labda uwasiliane na NBS Cheki mawasiliano yao Hapa shuka chini nimeweka apo Mawasilaino yao >>> https://assengaonline.com/2022/05/07/mfumo-wa-maombi-ya-sensa-2022/
Habari nilituma maombi yameenda ila sijapokea ile form ya wazamini na form yangu msada tafadhali
Tazama hii Video Hapa https://youtu.be/MPCKUXh3qCg
Mbona fomu hafunguki tunaomba msaada
Cheki hapa https://ajira.nbs.go.tz/
samahani, me sijaelewa hio form inayoelekeza habari za mdhamini, mtendaji inatakiwa uiprint? na baada ya hapo tuiatachi wapi?
Tazama hii video hapa >>>>https://assengaonline.com/2022/05/06/jinsi-ya-kujaza-fomu-ya-maombi-ya-sensa-2022/
je.., kuna uwezekano wa kuomba eneo au mkoa usioishi ka sasa?
Hapana itakupa shida maana lazima usainishe kwa serikali za mitaa ya eneo unaloomba kufanya kazi
Naomba msaada katika kuchagua mtaa na Kijiji kwa bahati mbaya nilikosea je naweza fanya vp ili niweze kurekebisha nishatumiwa mpk form 1
Alafu pia namba mkizoandika ili tuweze kupata msaaada nyingi hazipatikan na zinazopatikana ziko busy mda ote na ukituma sms hazijibiw
Ninatatizo la kutopata password pia
Nifanyeje Ili nipate form ambayo nimeshaijaza tayari na kuituma ila tatizo nkipata wakati naipakua
asante admin Mungu akubariki sana maana niliteseka kupata pasword ya email yangu lakin baaada ya kusom maelekezo yako nimeipata… Thanks admin
Asante kwa feedback
Naomba nisaidie link ulotoa imegoma funguka, nlikosea email napataje password na username mkuu
Nimejaribu iyo link ulotoa imegoma funguka jaman
“Namba ya mtihani kidato cha nne imeshatumika kuomba kazi ya sensa. Tafadhali angalia maombi yako kwa kutumia Barua pepe (email) na la siri “msaada admin nifanyeje hapo?
Cheki hii video HAPA
nimetuma maombi mtandao ulikata nimejaribu tena ninajibiwa maombi yamefika ila sijapata ujumbe kwa email ili niipate fomu yangu
Kama umepata majib naomba nisaidie Nina tatzo ka lako ndugu
Nimetumiwa fomu,Ila nimekosea email kwaio sikupata ujumbe wenye password na username, nafanyaje??
Join Here upate msaada >> https://t.me/assengaonlinemedia
Join here >> https://t.me/assengaonlinemedia
“Namba ya mtihani kidato cha nne imeshatumika kuomba kazi ya sensa. Tafadhali angalia maombi yako kwa kutumia Barua pepe (email) na la siri “msaada admin nifanyeje hapo?
Tazama Hii Video Hapa Bonyeza hapa
viongozi naomba msaada NAJIBIWA|||||||| Namba ya simu imeshatumika kuomba kazi ya sensa. Tafadhali angalia maombi yako kwa kutumia barua pepe (email) na neno la siri
Jiunge apa wanajadili izo kero>>>https://t.me/assengaonlinemedia
Mfumo hauoneshi wilaya, Jimbo, tarafa, kata na vijiji. Changamoto inaweza kuwa Ni Nini??
Nimejaribu iyo link ulotoa imegoma funguka jaman
Hi, mimi tatizo langu kila nikituma inaandika ” your file couldn’t be accessed” Sasa sielewi nifanyaje
Naomba msaada nimetuma maombi sijapata password mpaka saiz na email yangu ipo active naomba msaada
Habari,, samahani nimetuma maombi kila kitu lakini ikakata ghafla naambiwa website haipatikani na fomu sijapata, hapo nifanyeje???
Ukishatumia Email Utalog in Kuna sehemu ya Kupakua iyo formu au Bonyeza Hapa kutazama hii video
Samahani mimi nilituma maombi kila kitu lakini ghafla mtandao ulikata sijakupata form wala sms ya passwords nikijaribu tena naaambiwa namba zimsheshatumika nifanyeje? Naomba msaada tafadhali
Cheki hapa
Hello nipo mwanza kwa sasa ila natokea mbeya JE naweza kutuma maombi
Nimetuma maombi lakin mpaka sasa sijapata majibu na nikirudia naambiwa taarifa zimetumika msaada pls
Samahani nimejaza fomu na nikahakikisha kila kitu lakini kwenye fomu kwenye tarehe ya kuzaliwa imekuja tofauti
Nimeomba nafasi ya ukarani ila cheti cha kidato cha nne pdf hakiingii na picha na vyote tayar tushaviskani viko pdf naomba msaada nifanyeje na siku yenyewe ndio mwisho leo
naomba msaada namna ya kubadilisha mdhamini maana nilimuweka dada yangu ila ndo yupo safari wiki hii yote atakuwa bado hajarudi na inatakiwa kusainiwa na yeye!
Naombeni mniwekee kipengele Cha kupakia fomu iliyosainiwa, sikioni kwenye account yangu.
Nilituma maombi lkn kwa baht mbaya nilikosea email.so sijapt password
Email nilivyotumia haikuwa active
Niasaidiwe ili niweze kufanya maombi
Email niliyoitumia niliikosea. Please naomba msaada.
Naomba nisaidiwe ninaambiwa wrong password or username!!!
Copy Password kama ilivo afu tumia link ulotumiwa, copy na Paste
Naomben mnifunhulie account yangu iwe Kama mwanzo mbna nakuta neno error viambata na taarifa zangu sizion Tena shida nn niambie ?
Mbna hamnijib na Leo Ndio mwisho nipen mresho basi
Mimi James Juma Mtoba Mtoba nimesha jaza form nimesahau password ila email Niko nayo niliibiwa simu kesho yake hivyo naomba munitumie password
MAJINA YANGU NI JAMES JUMA MTOBA
NAMBA YA NIDA NI 19960312334160000226
NAMBA YA SIMU NI 0622296034
EMAIL NILIYO TUMIWA NI jmtoba.tz950 @gmail. Com.
PASSWORD NILIYO TUMIWA SIIKUMBUKI ILIKUA NIMEISAVE KWENYE SIMU ILIYO IBIWA NAOMBA NISAIDIWE KUPATA PASSWORD YANGU ASANTE .
Email ni jmtoba.tz950 @gmail. com
Naomba msaada nitumiwe password
Kwenye namba yangu ya simu ambayo ni 0622296034
Majina bado hayajatoka