Jinsi ya kujaza fomu ya maombi ya sensa 2022. This article will show you step by step on how to fill the sensa application form(Fomu ya maombi ya sensa 2022), through ajira.nbs.go.tz/ajira za sensa 2022. Through the video below try to show you how the system work and how to the fill the application form. Please follow all procedures as a explained Below
Ajira za sensa 2022
The Government of the United Republic of Tanzania, is preparing to Population and Housing Census which will be held on 23 August 2022.
To achieve In this census, the Government is announcing temporary vacancies for CORRESPONDENTS AND CENSION MANAGERS / Makarani wa sensa 2022 for Tanzanians with the right motives and qualifications as specified in this announcement for the Vacancy Below
- Census Clerk
An applicant for this position, if elected, will be required to attend a training course clerks where after training if he succeeds he will have to return to the area originated or assigned to any other location. - Census Administrator (CONTENT SUPERVISOR)
An applicant for this position, if elected, will be required to attend a training course
Census supervisors who, after successful training, will be required to attend Census clerk training and then return to their place of origin or arranged for any other location. - IT SUPERVISOR
An applicant for this position, if elected, will be required to attend a training course Census supervisors where after training if successful will be required attend Census clerk training then return to the area of origin or arranged for any other location
Step by step Jinsi ya kujaza fomu ya maombi ya sensa 2022
This Video shows you step step on how to fill the application form for sensa Jobs (ajira za sensa 2022)/ The sensa fomu is available Bonyeza hapa kujaza fomu
Watch the Video Below on How to Fill Sensa Fomu
77 comments
Application for Karan wa sensa
Naitwa SAKINA Ame nimejaza fomu ya sensa lkn nilikosea herufi moja tu katika email yangu na iyo fomu imeshafika kunakohusika ila siwez kupokea SMS kutokana nahilo tatizo sasa nifanyeje
Nimejaza form ilaa sioni sehemu ya kupakia form no 1 iliyosainiwa nifanyeje
Habari ndugu me nimejaza taarifa lakn sijapokea mesage ya kupewa pin ya kuendelea na nkitaka kuludia kujaza taarifa upya wanasema barua pepe imeshatumika nfanyej jamani na mda ndo huo unaisha
I can’t fill form number 1,I don’t know what can I do inoder to fill it
Hello
Tuma maombi kwenye link iliyoko kwenye Taarifa hii, ingia ajira.nbs.go.tz
Inakuwaje jinsi ya kuscan vyeti na kuvituma hapo kwa mfumo wa PDF
Nimejaza taarifa zangu zote kwenye mfumo na nimetuma maombi lakini sijaletewa option ya kupakuwa fomu namba 1 na kwenye email yangu hakuna message yoyote iliyotumwa lakini ninaambiwa namba ya simu imeshatumika,mara namba ya nida imetumika mara namba ya mtihani imetumika,nifanyeje
Umekosea email hebu angalia vizur jinsi ulivoandika ndo email unayoitumia
Kam Huna namba ya NIDA means kwamba huwez fanikisha hayo maombi ya sensa
Nimekamilisha maombi yote lakin sasa sinaletewa message yeyote kwenye email yangu na taarifa zimekalija nakili nikijaribu Wana niambia namba ya mtihani wa kidato Cha nne imetumika nacho hitaji kupata form
Habari ndugu…!
Nimeshindwa kukamilisha maombi kwa kuwa email niliyoweka sikumbuki password yake na namba niliyotumia kufungulia email account siko nayo. Je ninaruhusiwa kuapply maombi upya na kutumia email nyingine yenye password? Msaada jamaniii
Email niliyotumia ilifungwa nifanye nn ili kuweza kurudisha form?
Ninashida sana… Nmejaza nanimetuma maombi kabisa lakn nilisahau kuweka namb ya maombi na maomb yang yanaonesh kupokelew lakn pale ambapo ningeandika namb ya maombi imekaa email yang
Mm sijapata fomu,maombi yamekubali ila sijapata famu na pia nikijaribu kuomba tena wananiambia chet cha form four kimetumika naomba msaada nifanyeje? Mana hata kwenye email sijaona sms yoyote
Tuma maombi upya tumia email iliyo active,
Ukituma tena inaonesha kuwa namba ya mtihani kidato Cha nne imeahatumia
habari mimi nimefanya maombi nikaletewa sehem ya kupakua form no 1 umeme ukakata na nikatumiwa password kwenye email yangu sasa kila nikijarbu kuingia wanasema incorect password nimerudia kwa umakin zaid ya mara 6 lakn inagoma
Bonyeza Link ulotumiwa ndo, afu ucopy password ukakopy aple itakubali
Tatizo kama langu form yangu Mimi nli cancel baat mby ikapotea
Natuma maombi naambiwa chet kimetumika nifanyaje
Kama huna namb ya NIDA means kwamba huwez fanikisha hayo maombi???
Fata Tangazo linavoelekeza
Adimin mm nimekosea email hadi sasa sijapata nywila nitasaidiwaje
Inakuwaje jinsi ya kuscan vyeti na kuvituma hapo kwa mfumo wa PDF
Unaweza kuvipiga pich avizur vyeti vyako afu ukatumia program kama cam scanner au Combined PDF kuscan vyeti vyako, au nenda stationary ukascan
Jaman naomba mnisaidie natafuta fomu namba 1 siipati
Asante kwa maelekezo
Nimejaza fom na nimeiaplod na wazamini washa isaini na serikali ya mtaa washaisaini najalibu kuingi kwenye akaunt yangu kila nikiweka pasward na emel wananambia incorrect je napata user name na pasward Tena maaana kwenye emeli yangu sijatumiwa
Sasa kama hujatumiwa password unaweka password ipi kolog in
Nimejaza taarifa zangu kwenye mfumo lakn naambiwa namba angu ya kidato Cha nne imeshatumika kuomba kazi ya sensa.ilihali password kwenye email yangu sijatumiwa.nifanyeje apo. Msaada jamaan
Nami nina changamoto kama yako tafadhal kama utakuwa umepata ufumbuzi wa swala hili naomba msaada
Nmejaza form ya maombi lakin kwenye kitufe cha pakua Kimefaint kwa hyo hakunajbu lolote lilotokea hata hyo password haijatumwa
unapojaza index mbele yake ongeza na mwaka wa kuhitim
Nimepata changamoto ya kupotelewa na cheti cha from four , ila nina cheti cha form six na kitambulisho cha chuo na namba ya Nida, je nitaweza kufanya maombi haya ??
Application for Karani wa sensa
Mm nimeshajaza taarifa zote Ila nilipotaka kutuma wananiambia namba yangu imeshatumika kuomba maombi ya sensa kwa hiyo nimekwama sielewi nifanye nn
Nimekamilisha taarifa zote lakini sijapata form namba 1 pia vilevile namba ya mtihani wa kidato Cha nne wananiambia kua imetumika naomba msaada kupata form namba Moja nasijaletewa message yeyote kwenye email yangu
Cheki hapa maelekezo
Nimejaza taarifa zangu kwenye mfumo lakn naambiwa namba angu ya kidato Cha nne imeshatumika kuomba kazi ya sensa.ilihali password kwenye email yangu sijatumiwa.nifanyeje apo. Msaada jamaan
Angalia kwenye email ulotumiwa kama umetumiwa password
passorwd me nimetumiwa ila kila nikiingiza inakataaa
Nmekosea email …nikianza kujaza upya namba ya fomu four naambiwa ishatumika nafanyaje msaada please
nimekosea kujaza mwaka wa kuzaliwa, msaada
Nimejaza fomu taarifa zote na nimetuma maombi lakini sijaletewa option ya kupakuwa fomu na 1 na katika email yangu hakujatumwa message yoyote, nikijaribu kwa mara ya nyingine naambiwa namba ya simu imeshatumika,namba ya nida imeshatumika,namba ya mtihani kidato cha nne imeshatumika, tafadhar nifanyeje?
Tazama hapa
Kama huna namba ya NIDA huwez fanikisha Hilo zoezi??
Nimeandika email wananiambia sio sahihi wakati ndo nahitumia
Nimeshindwa kupata fomu
mm nnataka kujua Kama mtu ameombea kwao kusimamia zoez la sensa af yeye yuko mbali na usahili nasikia utafanyika hv karibuni, je Kama hatohudhuria kwenye usahili anaweza akapoteza nafas yake ? au Kuna namna ya kufuta maomb hayo na kutuma maombi sehemu nyingine?
Mm nimejaza form vizue ila sijapata email hi
sijapata fom nifanyaje
Mimi kila nikijaribu kuweka email yangu pamoja na mdhamini naambiwa invalid email ilihali ni emails zipo active hii changamoto na tatua vp asee.
Tumia email za gmail.com
Nimejaza form lakini sijapata mrejesho katika email yangu link au account nikayotumia kuirudisha form baada ya kuijaza na kugongewa muhuri na mtendaji .nitaipataje hiyo account ? Asante.
Cheki kwenye spam box ya email yako
Sijapata form no moja…..na password kwenye email yang…..nimejaza Kila kitu…msaada tafadhali
Tazama Hapa
Naomba kufahamu format nzuri ya kusevu page nzima moja baada ya kudownload
Bofya hapa kutazama video hii
Mim nashida ya password sijapa
Jaman Mimi naomba mnisaidie maomb yanatumiwa humu ila bdo cjajua kabsa please mnisaidiee
Jiunge kwenye link apo juu, usaidiwe
jamani hat mm nasubilia password land sijapata tusaidieni jamani
Mbona mimi siwezi kupata fomu namba moja ya sensa ?
Nimeshajaza taarifa zangu vizuri lakini siwezi kupakua nafanyaje?
Me na changamoto ya email yangu kuna herufi moja haionekani imefanya nisipate pasword naombeni maelekezo nifanye nn
Sijajua nilibonyeza wapi maana sehemu ya kupakia fom namba 1 iliyosainiwa siioni na majibu yao ni kwamba maombi yanasubiri fom namba moja iliyosainiwa, msaada tafadhali
mbona na kuna sehemu ya jinsia imeongezeka na inatakiwa ijazwe lakini sehemu ya kuhuisha haionekani?
The application module is so complicated why?
Nimetuma maombi ila fom sijapata wala password, nafanyaje,na kila nikijalibu tuma tena yanakataa
jamani hat mm nasubilia password lakn aitumie tusaidieni kwa hilo
Nimejaza taarifa zangu lakin form no1 yakisainiwa na mtendaji cjapata
Sijajua nilibonyeza wapi maana sehemu ya kupakia fom namba 1 iliyosainiwa siioni na majibu yao ni kwamba maombi yanasubiri fom namba moja iliyosainiwa, msaada tafadhali
Hlw vipi eti majibu yanatolew Kwa mfumo gani?
Jamani.nimetuma maombi lakn sijapata password na mkitaka kuludia kujaza taarifa upya wanasema barua pepe imeshatumika nfanyej jamani
Nimeshatuma maombi lakin nilisahau kuweka namb ya maombi baada ya kusainisha kwa mtendaj kwahiyo nafanyaje pale ambapo ningeandika namb yang ya maomb imekaa email yang Sasa tafanyaje