9 Comments
  1. Asha saidi says

    Mbona sielewi kuhusu mkopo jamani tuoneane huruma jamani

  2. S0851/0074/2019 says

    HESLB LOANS BOARD

  3. Deus charles says

    Naomba mnisaidie watu wa bodi ya mkopo kila nikitaka kuangalia status yangu ya mkopo naandikiwa “you’re connection is not private” ikiandika hvo haifunguki naomba kusaidiwa natakiwa kufanya nini

  4. Valentina says

    Jamani bodi ya mikopo tuoneane huruma ety tunaomba msaada tushajisajili vyuoni na mlisema tujisajili lakini mkopo haupo msaada jamanii tafadhali ninaomba🙏🙏

    1. admin says

      Msikilizi Waziri Mkuu alivotoa MAAGIZO hapa bONYEZA HAPA

  5. Anonymous says

    Napendaa kuliza pia kwani majibuu ya kureapil Ni linii

    1. admin says

      Tayari yashafungulia BOFYA HAPA

    2. Herry charles says

      Tutapata jamniii tusijariii tumemsikia viongozi wakisema tutapata woteeeeee

  6. Anonymous says

    Sielewi jinsi ya kuingiza kwenye account ya SIPA maana nimeambiwa niingie k
    wenye hiyo Account kuangalia majibu o

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.