Fomu za kujiunga na VETA 2022/2023

Fomu za kujiunga na veta 2022
30

Fomu za kujiunga na VETA 2022/2023, Ada za veta. VETA provides training through 33 vocational training centres and institutes that it owns. Also, it provides training to vocational teachers through its Vocational teachers Training College in Morogoro.

Fomu za kujiunga na veta 2022
Fomu za kujiunga na veta 2022

VETA coordinates more than 700 VET institutions owned by other VET providers in the country, providing training in form of long courses, short courses and tailor-made courses. Also, VETA conducts Labour Market Surveys to determine skills demanded by labour market.

Read Also
1 of 3

As well, the Authority establishes and maintains close linkage and partnership with other training providers at national and zonal levels.

VETA regulates provision of vocational education and training in the Country through Registration of VET Institutions; Accreditation; Setting Standards; Curriculum Development; Auditing for Compliance; Assessment; and Certification.

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU

How to get Fomu za kujiunga na veta 2022/2023

VETA is charged with the role of promoting vocational education and training in the Country. VETA believes that the public can support VET if it is provided with adequate information about VET goals and activities.

Promotion is carried by communicating VET to different stakeholders including the Government, parents, employers, employees, and donors. Other targets include current and prospective trainees, instructors; VET graduates legislators, trade unions, NGOs and the media.

VETA uses different media in communicating VET to stakeholders: through advertisement, VET week activities, public presentations, trade fairs and exhibitions and publicity. Others include newsletters, annual reports, brochures, VET catalogues, website and other promotional materials.

CLICK HERE TO GET VETA APPLICATION FORM 2022

30 Comments
  1. Avatar Of Dismas J Mariananga
    Dismas j mariananga says

    Dismas j mariananga @ ningependa kujua kama mafunzo ya ufundi Bomba ni kuanzia elimu gani

    1. Avatar Of Admin
      admin says

      VETA Mafunzo ni kuanzia Darasa la Saba Mkuu

      1. Avatar Of Jelly
        Jelly says

        Nahitaji kujiunga na veta ufundi sina maelekezo yeyote please naombeni msaada 0693814344

      2. Avatar Of Miraji Athumani Ikumbiko
        Miraji athumani ikumbiko says

        Asa Ada ya kujifuza udereva bei gan?..

      3. Avatar Of
        Anonymous says

        Naomba Mawasiliano veta mkoa wa mwanza

        1. Avatar Of Erick
          Erick says

          Course ya smart driving kwa mtu anaye anza mwanzo anatakiwa kujiunga vipi na chuo cha veta na fomu zinapatikanaje

      4. Avatar Of 0658917010
        0658917010 says

        Ninaweza kupata fomu za kujiunga na VETA au nimesha Chelsea ? Misaada

        1. Avatar Of Admin
          admin says

          Nenda Chuo cha VETA kilicho Karibu na wewe au uende Chuo unachotaka Kuapply

          1. Avatar Of Hassan
            Hassan says

            Dodoma

      5. Avatar Of Jastin Magesa
        Jastin magesa says

        nitumie fomu mkuu

        1. Avatar Of Admin
          admin says
      6. Avatar Of Kasimu
        Kasimu says

        YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA UFUNDI STADI .
        Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 18 ninayo furahaa ya kuandika barua hii yakujiunga na ufundi stadi nanimatumaini yangu ombi langu litashugulikiwa Asante.
        Wako katikaujenzi wa taifa
        Kasimu shabani
        Simu no 0682080177

  2. Avatar Of Enock Isaya Abdul
    Enock isaya abdul says

    Nahitaji kujiunga nachuo chenu Cha veta

    1. Avatar Of Neema
      Neema says

      Naomba fomu ya kujiunga na beta changombe

  3. Avatar Of Cynock Lyimo
    Cynock Lyimo says

    Form za long course zinatoka lini

    1. Avatar Of Tino Munishi
      Tino Munishi says

      Naomba fom ya maombi ya kujiunga na veta. Na jinsi ya kujaza online

      1. Avatar Of Admin
        admin says

        Kujaza Fomu nenda kwenye Chuo husika cha VETA ukajaze Fomu, Au Bofya Hapa kucheki Vyuo vya VETA

      2. Avatar Of Musa
        Musa says

        Nahitaji kujiunga na veta form napataje

  4. Avatar Of Deo
    Deo says

    Zile nafasi znazotelewa na serikal zmeishapita muda wake au

  5. Avatar Of Frank Robert Mandago
    Frank Robert mandago says

    Nahitaji kujiunga na mafunzo ya veta naombeni msaada wenu kupitia namba hii 0745493737

    1. Avatar Of
      Anonymous says

      nahitaji kuniunga na veta napataje fomu

  6. Avatar Of John Geofrey
    John Geofrey says

    Naomba mwanangu aitwaye zakia kajege magafu afanyie mtihani mwanza na mnijulishe mwanza sehemu ipi

  7. Avatar Of Benidictor Lyambwiga Mikwabe
    Benidictor Lyambwiga Mikwabe says

    I want to join in veta

  8. Avatar Of Give Julius
    Give Julius says

    MAFUNZO kushona nayo ni miongoni mwa kozi ndefu? Na je , veta-wanatoa mafunzo ayo?

  9. Avatar Of Ayubu Amosi Chalale
    Ayubu amosi chalale says

    YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA UFUNDI STADI.
    Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka21 ninayo furahaa kuandika barua hii yakujiunga na ufundi stadi nanimatumaini yangu ombi langu litashughulikiwa asante.
    Wako katika ujenzi wa taiga
    Ayubu A.chalale
    Simu no:0758761226

    1. Avatar Of Admin
      admin says

      Tuma Maombi Kwenye Chuo cha VETA kilichopo karibu na wewe

  10. Avatar Of
    Anonymous says

    Instructions fomu nazipataje, mi jina langu nmeliona nmechaguliwa Sasa fomu ya maelekezo napataje, nlifanya mtihan dodoma Kwa Sasa nipo katavi

    1. Avatar Of Admin
      admin says

      Fiuka Chuo cha VETA au Wasiliana na VETA kwa samba hii 0755267489

  11. Avatar Of Priskilabrenda
    Priskilabrenda says

    Naomba form ya kujiunga na masomo mbeya

  12. Avatar Of
    Anonymous says

    Naomba form ya kujiunga nachuo Cha veta dodom

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Every year, we change the lives of thousands of students. We enable them to explore all their study options in one place and to find the best fit study programme that matches their needs, goals, and preferences.

In order to succeed in this mission assengaonline stationary We provide services for various applications such as sending online job applications, sending college applications, sending university loan applications, as well as creating various accounts in online systems.

HUDUMA ZETU

Service Cost/Month @ Banner (Tshs)
TCU University Application 5000/=
NACTE College Application 5000/=
HESLB Loan Application 10000/=
JOBS APPLICATION/ Maombi ya Ajira 5000/=

    Website Design & Editing

    Tunadesign WordPress blog kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Pia Tunaedit worldpress blogs zilizokua tayari hewani kwa bei poa. Kama unahitaji website yenye mvuto na iliokidhi vigezo vyote kwa ajili ya SEO, assengaonline stationary kwetu hakuna linaloshindikana.

    This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More