Advertisement

Advertisement

How to download fomu ya maombi ya sensa na 1 PDF

46

Advertisement

Fomu ya maombi ya sensa na 1, www.nbs.go.tz ajira, How to download fomu ya maombi ya sensa na 1 PDF| fomu ya sensa namba 1, ajira za sensa 2022, fomu ya maombi ya sensa 2022 download via www nbs go tz ajira fomu ya maombi | ajira nbs go tz, ajira.nbs.go.tz ajira form| www.nbs.go.tz ajira fomu ya maombi

Fomu ya maombi ya sensa na 1

Form number one is the form you need to download for going to sign local government officials including the chairperson or village or local network officer where you wants to apply for census jobs.

Once you have completed all to fill the information on the census application form all you have to do is submit the application form. after submitting the form you will be brought to the section to download form number one (Fomu na 1) whose function is as I mentioned above.

NB; If you did not manage to download form No.1 in step 3 you can download it the form by entering your address Click the link labeled form No. 1. not signed to upload your unsigned form.
fomu ya maombi ya sensa na 1
Fomu ya sensa namba 1

How To Download Fomu ya maombi ya sensa na 1

 • Visit www.ajira.nbs.go.tz/Login
 • Enter the your email and password which they sent to you via your email
 • After entering the system you will sea the Link Button to Download Fomu namba 1 again

Please Consider the Following

 • Read the Announcement carefully, before submitting an application.
 • Make sure all the information you fill out is yours.
 • Phone number will only be used once. Make sure you fill in a phone number that has not been used by another person to apply for a job.
 • Make sure the email you use is yours and it works. Email will only be used once.
 • After submitting the application Download Form No. 1 to be filled with Local Government officials when you want to work.
 • Username and Password will be sent to the email you entered above (Excerpt 3).
 • To complete your application, Use the Email and Password used to upload Form No. 1 signed.

Click here to Download Form

Watch the video Below how to fill the form

NBS Contacts

Advertisement

46 Comments
 1. Avatar Of Neema Benard William
  Neema benard William says

  Ku apply kazi

  1. Avatar Of Martin Peter
   Martin Peter says

   it up

   1. Avatar Of Filibertmumbamagesa
    Filibertmumbamagesa says

    In

  2. Avatar Of Wilson Benard
   Wilson Benard says

   Naomba nisaidiwe nimejaza email ambyo si active, email yangu sahihi ni bernardwilsonq22@gmail.com

 2. Avatar Of Neema Benard William
  Neema benard William says

  Ku apply job to sensa

 3. Avatar Of Merryciana Dominic Bwibonela
  merryciana Dominic Bwibonela says

  Applicati ya sensa

 4. Avatar Of Elia
  ELIA says

  kama sina namba ya nida nifanyeje ili kuomba kazi hii?

   1. Avatar Of Abdallah
    Abdallah says

    nimejaribu kupakua hiyo fomu kwa simu lakini bado inagoma au mpaka pc??

   2. Avatar Of Simon Mabula
    Simon Mabula says

    Serikali iangalie namna ya kutusaidia sisi tunaokosea au kutaka kufanya marekebisho kwenye form

    1. Avatar Of Admin
     admin says

     Unaweza kufanya ivo, log in kama ushatumia pasword afu bonyeza huisha Taarifa

  1. Avatar Of Jonathan
   Jonathan says

   kama no yangu imeshatumika kutuma maombi napataje napataj password ikiwa ijafika

  2. Avatar Of Boniphace Benson
   Boniphace Benson says

   Kwa ambao hatuna namba ya nida mnatusaidiaje mtupe basi hata Alternative

   1. Avatar Of Andaa Limbile
    Andaa Limbile says

    Nimejaza fomu Leo siku ya tano sijapata message ya password

 5. Avatar Of James Phaustine
  James Phaustine says

  Nimesubmit taarifa zangu ila sijatumiwa password Wala fomu namba 1 sijapata na nikirudia kutuma maombi naambiwa namba yangu imekwisha tumika kuomba kazi Sasa sijajua hapo nafanyaje Ili kuziona na nikibadili namba ya simu naambiwa namba ya cheti Cha form four kimekwisha tumika kuomba kazi

  1. Avatar Of Shukuru Festo Michael
   SHUKURU FESTO MICHAEL says

   Ata mimi nilimaliza kila hatua na kuletewa ile fomu lakini sikutumiwa password

  2. Avatar Of Ashrafu
   Ashrafu says

   Kama mimi apo na sijui nifanyeje

 6. Avatar Of Hassan C Mazinge
  hassan c mazinge says

  jaman hali mbaya msaada sijapata form no 1 pia nywila E-mail yangu esamweli322@gmail.com simu0699493768 ndugu tusaidien.

 7. Avatar Of Msafiri Pius
  MSAFIRI PIUS says

  Nimesha tuma maombi jana mpaka leo bado sija tumiwa passsword ili kupakua form namba moja ili kusainishi narudia kutuma maombi naambaiwa nilisha tuma nifanye nini?

 8. Avatar Of Abdul Rajabu
  abdul rajabu says

  nimemaliza kujaza fomu ya maombi fomu ilikuja ila sikuidownload je nafanyaje niweze kuletewa tena nidownload ?

   1. Avatar Of Zulfa
    Zulfa says

    How can I join

 9. Avatar Of John
  John says

  Jamani msaada wadau

  1. Avatar Of Admin
   admin says
 10. Avatar Of John
  John says

  Nimetuma maombi lakin sijatumiwa neno la siri au nywila johntsuut6@gmail.com

 11. Avatar Of Amiry Ramadhani Kanyamala
  Amiry Ramadhani Kanyamala says

  Nimekosea kutumia email badala ya kuandika kanyamalaamiry24@gmail.com ambayo Iko active niliandoka kanyamalaamiry@gmail.com ambayo ni inaccess…kwahiyo naomba msaada nitumiwe nywila kwenye email ambayo nitaweza kuingia katika mfumo

  1. Avatar Of Mwatanga Ally Ahengo
   Mwatanga Ally ahengo says

   Jaman msaada nimesahau kudownload nataka kuprint imeshindikana maana haipo saved…nifanyaje?

   1. Avatar Of Admin
    admin says

    Log in kwa password walokutumia upakue Fomu upya

 12. Avatar Of Ashrafu
  Ashrafu says

  Mimi mtandao ulkua unasumbua sijatumiwa neno siri kwenye email wala cjapata fomu namba moja na nikiunga upya wanasema taarifa zishatumwa wakat neno siri sijapata nifanyeje

  1. Avatar Of Amos Masenya
   AMOS MASENYA says

   Sijapata form namba mojaa na nishatuma Maombi .. nikijaribu kuanza upya nazuiliwa

 13. Avatar Of Diana
  Diana says

  Sipati fomu namba moja inaniambia maombi yako yanasubiri fomu namba moja sasa sielewi

 14. Avatar Of Ruqaiyah Waziri
  Ruqaiyah Waziri says

  Mkuu nikiingiza password nlotumiwa ili kuhuisha fomu no 1 ilosainiwa inagoma, tatizo litakuwa nn

 15. Avatar Of Gabriel Nasson Kibona
  Gabriel Nasson Kibona says

  Naombeni msaada sijapata neno la siri (password)msaada jamani jamani tangutar10_leo

 16. Avatar Of Gabriel Kibona
  Gabriel Kibona says

  Nikirudia kutuma naambiwa tayari nimeshatuma lakini sion mrejesho wowote,msaada tafadhali naomba nisaidie nateseka tokea juzi

 17. Avatar Of Lilian Alexander Salala
  Lilian Alexander salala says

  Sijapata nywila mpaka saizi naomba kutumiwa

 18. Avatar Of Ramadhani S. Ramadhani
  RAMADHANI S. RAMADHANI says

  nimejaza form ya maombi sijapata password ya kuingilia e-mail yang ramadhansalmin140@gmail.com

 19. Avatar Of Omega
  Omega says

  Shida kwangu nikiaza kujaza kuna sehem nyingine maneno yanajifuta yenyew shida nini jaman

 20. Avatar Of Andaa Limbile
  Andaa Limbile says

  Nimejaza fomu Leo siku ya tano sijapata message ya password

 21. Avatar Of Char
  Char says

  Nimesha download form no 1 nikaiprint na wahusika wakai signed sa nataka niitume upya napitia wapi?

  1. Avatar Of Charles
   Charles says

   Nine print form no1 then wahusika wakaisain as nahitaji niitum upya,napitia wapi?

 22. Avatar Of Idda Mniachi
  idda mniachi says

  nimeweka form namba moja , kwenye viambatanisho imekaa ila maombi yanasema maombi yangu yanasubiri fomu namba moja

 23. Avatar Of Idda Mniachi
  idda mniachi says

  nimeshaweka formu namba 1 lakini mfumo unasema maombi yanasubiri form namba moja ila kwenye viambatanisho imekaa

 24. Avatar Of Maria Selemani
  Maria selemani says

  Jman mwenye kujua atusaidie sku zmeshaisha kam namb ya nida au barua pepe imeshatumika tufanye nn ili kukamilisha maombi? Maana wanasema user name na pass world tyr vmetumwa lkn kweny email sjaona ujumbe wowote ivyo msaada plzzz

 25. Avatar Of Milton Chao
  Milton chao says

  Msaada kwa sis tuliojaza hatujapata password tukirudia kutuma naambiwa namba ya kidato cha nne imeshatumika

 26. Avatar Of Mwanamkuu A Ally
  Mwanamkuu A Ally says

  Namba ya kupata maelekezo kwani password niliyotumiwa NIKIWEKA ili kupakua form na 1, inaandika kuwa Iko incorrect, nimepiga namba zinazopota hapo zote, zinazopatikana naambiwa nimekosea namba zingine busy na zingine hazipo hewani kabsa. Naomba kusaidiwa

 27. Avatar Of Translator
  translator says

  This is a great blog post. I have been looking for a way to download the fomu ya maombi ya sensa na 1 PDF. Thank you for providing this information.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More