Advertisement

11 Comments
 1. Avatar Of Asha Saidi
  Asha saidi says

  Mbona sielewi kuhusu mkopo jamani tuoneane huruma jamani

 2. Avatar Of S0851/0074/2019
  S0851/0074/2019 says

  HESLB LOANS BOARD

 3. Avatar Of Deus Charles
  Deus charles says

  Naomba mnisaidie watu wa bodi ya mkopo kila nikitaka kuangalia status yangu ya mkopo naandikiwa “you’re connection is not private” ikiandika hvo haifunguki naomba kusaidiwa natakiwa kufanya nini

 4. Avatar Of Valentina
  Valentina says

  Jamani bodi ya mikopo tuoneane huruma ety tunaomba msaada tushajisajili vyuoni na mlisema tujisajili lakini mkopo haupo msaada jamanii tafadhali ninaomba🙏🙏

  1. Avatar Of Admin
   admin says

   Msikilizi Waziri Mkuu alivotoa MAAGIZO hapa bONYEZA HAPA

 5. Avatar Of
  Anonymous says

  Napendaa kuliza pia kwani majibuu ya kureapil Ni linii

  1. Avatar Of Admin
   admin says

   Tayari yashafungulia BOFYA HAPA

  2. Avatar Of Herry Charles
   Herry charles says

   Tutapata jamniii tusijariii tumemsikia viongozi wakisema tutapata woteeeeee

 6. Avatar Of
  Anonymous says

  Sielewi jinsi ya kuingiza kwenye account ya SIPA maana nimeambiwa niingie k
  wenye hiyo Account kuangalia majibu o

 7. Avatar Of Calvin Laurent
  Calvin laurent says

  Jamani kuna wengine mkopo hautoshi ukizingatia ni yatima uwezo ni mdogo sasa tunafanyaje kupata ongezeko la asilimia nyingine ili tusisome kwa ugumu

 8. Avatar Of Samwel Pallangyo
  Samwel pallangyo says

  Jaman mm nmeandikiwa wait for the final result nfanyaj

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More