Mafunzo ya Kilimo (bbt kilimo go tz) – Building a Better Tomorrow Program 2023 (BBT)

23

Mafunzo ya Kilimo – Building a Better Tomorrow Program 2023 (BBT), bbt kilimo go tz, Wizara ya Kilimo – Building a Better Tomorrow Program 2023 (BBT), www.bbt.kilimo.go.tz, Wizara ya kilimo – bbt.kilimo.go.tz Program 2023, building a better tomorrow.

Building a Better Tomorrow Program 2023
Building a Better Tomorrow Program 2023

bbt kilimo go tz| Building a Better Tomorrow Program 2023 (BBT)

 

MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA BONYEZA HAPA

The Government is aware of youth and women’s challenges in the agriculture sector including access to agricultural land, capital, technology and the market. The Government has initiated a special program known as Building a Better Tomorrow – Youth Initiative for Agribusiness (BBT-YIA) to address youth and women challenges in the agriculture sector. The program will be implemented throughvarious agricultural value chain projects under the block farming model for youth and women. Currently, the Ministry of Agriculture has identified 162,492 acres of arable land for crop production in the following regions:-

 1. Mbeya – Chunya District (52,165 Acres);
 2. Dodoma – Chamwino District (17,000 Acres) and Bahi District (3,600 Acres);
 3. Kagera – Misenyi and Karagwe (3,227 Acres)
 4. Kigoma – Uvinza and Kasulu (86,500 Acres)

MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA BONYEZA HAPA

Mfumo wa Maombi ya Kujiunga na Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) kwa Vijana

Application System to Join the Building a Better Tomorrow (BBT) Program for Youth

Criteria need to join the program

 • Have Entrepreneurship skills.
 • He should be Tanzanian
 • He should be between 18 and 40 years old
  Knowledge.
 • One year experience and continuing in agriculture and agribusiness.
 • He should have good character, patriotism, discipline, hardworking, positive thinking, honest and who likes to see positive results.

How to Join BBT program 2023 | bbt kilimo go tz

CLICK HERE TO JOIN

Ads

23 Comments
 1. Shimbi emanuel bonda says

  Maombi ya mafunzo ya bbt kilimo go tz

 2. Emmanuel Temu says

  Mungu ambariki RAIS WETU, NA WAZIRI WA KILUMO

 3. Salum Ndembo says

  Naomba tuewe kipaombele tuliosoma kozi ya kilimo .

  1. Fadhili Ernest says

   Our Tanzania our leader 💪
   May God bless them 🤲🤲

 4. MBONEA JULIUS MZIRAY says

  Mungu azidi kuwa tunza sanaaa

 5. MUSAKA KAZOBA says

  Naomba watu kutoka mkoa kagera wapewe furusa maana mkoa huo umetelekezwa sana wakati una aridhi nzur ya kustawisha karbia kila zao hasa karagwe na kyerwa aridhi ziko vizuri mno mkoa upo maeneo mazuri kwa kilimo chochote kile furusa huwa zinatoka watu kutoka mkoa kagera hawapewi furusa kisa wapo pemben mwanchi hasa hasa wa wilaya kyerwa karagwe kwa hili vijana walioomba naomba wapatiwe furusa hiyo

  1. Justine says

   Nice project

 6. Emily Mahindi says

  Nasi tunaolima horticulture mtukumbuke, Mungu ibariki Tanzania Mungu awabariki viongoz wetu,

 7. said says

  ni vip waliotuma maombi ya block farming watapata matokeo yao kujua kama wamechaguliwa?

  1. admin says

   Watapigiwa Simu na pia watataarifiwa kupitia website ya Wizard ya Kilimo

 8. Reward kalason says

  Ndg zangu kuna alietuma maombi kajibiwa?

  1. admin says

   Walioomba watapigiwa simu na pia Wizara ya kilimo itatoa Tariffa kupitia website ya wizard ya kilimo

 9. Cibberillah Irirah says

  Ambao hatujatuma maombi online tumepeleka manispaa inakuwaje maan nasikia wengine walituma online

  1. admin says

   Kaulizie kwenye manispaa kama ulitują maombi manispaa

   1. Siwajibu anthonii says

    Jamani tariff juz waziri alisema itatoka juma tano Leo alihams kimya vipiiii au ndo tumepigwa ngumi ndoige

 10. ATHANAS ROBERT says

  tunasubiria taarifa kwa waliochaguliwa kujiunga na mafunzo.hatpati. wakati tangazo linasema tar 15/02/2023.kuanza mafunzo mbona mpaka sasa n kimya tu?

  1. Neema Samson says

   Kimya aisee,. Hakuna taarifa yoyote na mafunzo yalitakiwa kuanza tar15 tangazo lilivyoelekeza tuendelee tu kusubiri ndugu labda wameongeza mda

   1. admin says

    Tarifa itatolewa msijali,

 11. ATHANAS ROBERT says

  mbona mpaka leo tar 15/02/2023,hatupati taarifa yeyote kuhusu kwenda kwenye mafunzo. iwapo barua ya tangazo ilieleza kuwa tar 15/02/2023 yataanza mafunzo. tujulishen basi ili tufahamu

  1. admin says

   Majibu yatatoka na waliochaguliwa watapigiwa Simu

 12. Anonymous says

  Yatatoka link Sasa tunasubili

 13. Abia France says

  Tujulishane jamani vp mpaka sasa majina hayajatoka kweli au ndo tumetemwa ivoo,,,

 14. Anonymous says

  Safari njm ya mafanikio , ila utaratibu wa maombi uwe wazi

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.